Shule hii haina wanafunzi.

Shule hii haina wanafunzi.

omben

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
823
Reaction score
480
Nimepita kwenye shule hii kuangalia mahudhurio ya wanafunzi nimekuta inajumla ya wanafunzi 47. Kwa hiyo shule zote zenye mlundikano wa wanafunzi tuhamishie kwenye shule hii.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1351930145238.jpg
    uploadfromtaptalk1351930145238.jpg
    158.2 KB · Views: 755
Mbona naona barabara na vijumba jumba tu?sijaona shule hapo,ungetupa maelezo ni shule gani?iko wapi?kwa nini haina wanafunzi nk,au shule yenyewe ipo kwenye jf?unasema tuwahamishie wanafunzi kwenye shule hii ipi?kwenye screen?
 
hahaha olyset net ,alafu hiri rijamaa ombeni harijui kwamba leo ni jumamosi,hao 47 wameenda kufanya usafi tu...lol
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeeeee babaangu wanafunzi wamekwenda kupalilia bustani za walimu za mboga mboga
 
Back
Top Bottom