Shule fulani hivi amazing huko jimbo la Mtama

whitehorse

JF-Expert Member
Aug 29, 2009
2,565
4,432
d3074cbaf003934b51461b842a568d59.jpg
 
Nikisikia budget ya mwaka mzima ya nchi imepekwa Mkoa huo kuwajengea mashule,nyumba za waalimu na madawati sitalalamika.Hawa hata wakikimbia wakati wenzao wa mikoa mingine wakitembea hawatakaa wafike kamwe.Inabidi walio mbele wasimame hadi wenzao wawafikie ndipo safari iendelee.
 
Authenticity ya picha yenyewe kwanza halafu ndo kuchangia inawezekana ni chato na si mtama hata hivyo wako bize na majipu kwanza mikakati na maendeleo baadae.
 
Authenticity ya picha yenyewe kwanza halafu ndo kuchangia inawezekana ni chato na si mtama hata hivyo wako bize na majipu kwanza mikakati na maendeleo baadae.

Hii ni Shule ya Msingi Litingi iliyopo katika kijiji cha Litingi kata ya Nyangao jimbo la Mtama malizia mwenyewe mengineyo
 
ndo maana nasikia kila siku wanafunzi wanapewa ujauzito na walimu. Hawa wanaosoma hapo hawawezi tambua umuhimu wa shule kabisa
 
Jamaa yuko bize kuhakikisha matangazo ya bunge yanazimwa. Mambo ya kuboresha shule si kipaumbele
 
Back
Top Bottom