Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
SHULE 868 ZIMEKARABATIWA
Shule 868 zimekarabatiwa zikiwemo za msingi 794 na za sekondari 74 na kuweka mazingira mazuri ya wanafunzi kujipatia elimu.
Serikali imeendelea kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu pamoja na kuhifadhi na kuendeleza mazingira ya shule hizo kama ilivyoelekezwa kwenye ibara ya 80(i)(a) ya Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025.
Huu ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 kuanzia Novemba, 2020 hadi Machi, 2025.