Kama nindoa lazima walifikishe kwa washenga na wazazi!!ila ilipofika mme kaishalishwa vyakulishwa mpaka amekuwa hana woga na mkewe na yupo radhi kumtaliki mkewe lamsingi nimke kujifunga kibwebwe nakupigania haki yake!!asitake kushindana kwani mwenzake ameishaona simalikitu hata akiondoka ndiyo maana nakuwa na uthubutu wakusema hivyo!!
Sasa tunamshauri vipi ili aelewe haya
My dear... for this one ni vizuri kuweka mitazamo mitatu au minne... ambayo ndio ushauri wenyeweSasa tunamshauri vipi ili aelewe haya
Sio lazima aulize amswali mengi.. amwambie 'pole kwa kazi dear', afu amuandalie maji ya kuoga kulala mzungu wa4[/QUOTE
]
Haya ndiyo maisha ya ndoa ?
Ndoa sio kudandiana tu kumyima au kumpa hakuna guarantee ya kusolve problem.
Mzungu 4
2. sio kumyima ni kutafuta pose muone atavyo ku aproach / react
3. Kama kweli anatoka small house ni uchafu at bip tu.
4. Ita Show that hujapendezwa na tabia yake
5. kwaweza saidia kudraw attention
6. Dont provoke him.
My dear... for this one ni vizuri kuweka mitazamo mitatu au minne... ambayo ndio ushauri wenyewe
Ya kwanza aanze na positive, kwamba the guy is addicted to having fun and him coming back is better than many who dont come back forever, whether wanakufa au wanakimbia kabisa.. In this case its her duty to soothe tha many and develop a new habit of encouraging the man to come early. in special circumstances, she may even need to go out with the man and not show attitude to friends even if she gets bored, this one works very well but there is price to pay... late night and sitting with people you may not love
Ya pili ni kwamba the guy is simply not into her... so she either fight for love or let go
Ya tatu ni utoto wa bwana
ya nne ni kero za nyumbani
Ya tano ni mazoea before marriage
Hizo tatu za mwisho ni mama kuchuja na kuamua kama aendelee na utoto, kero zake kama mama au kuachia mazoea ya kabla ya ndoa
All in all she needs to sit down with the man, in a very lively mood na wakiwa kwenye mapenzi motomoto, preferably out (muziki au nice dinner) na ajaribu kumpa undani wake mshkaji bila kugomba wala ugomvi
I pray that she will make it to the joyfull relationship
"..Shukuru Nimerudi.." Hii nadhani ni "quote" of the year 2010!
Hiyo nayo hojaahh ni kwamba uo muda ambao hayupo SUBSTUTE ITAFUTWE JAMAN..
ye akiwa uko na mimi nakuwa uku narud mapema tu km saa5 ivi nikiwa mweupeeeeeeeeeeeee...
...haa mambo ingine ukiendekeza unaweza pata bp km si ukichaa wa muida watu wakakushangaa njiani...km anakufanyia ivi ni waz akuthamini na wewe hauna bud kutafuta sehemu ambayo utathaminiwa japo kdg ili kuepuka kuwehuka na kujifili km u mwanadamu na si mbwa!!!
...smtmes maadili yanatufunga watu na kuwafanya watu wazd kuumia ata kufa...sasa uko anakolala akimletea mgonjwa itakuwaje?
ahh apana
atafute kaka wa pemben awe anaenjoy nae mchana na abak na mumewe kwa kulinda ndoa na watoto tu ...VP MATUNZO ANAMPA?
Ameniudhi kweli huyo baba, ningemshauri huyo dada ampotezee tu, labda kama anampango wa kuondoka, maana akionyesha anajali sana na mtu mwenyewe ndio anamajibu machafu namna hiyo atazidi kuumia na kupata magonjwa mengine. Asimuulize wala nini iko siku ataulizwa mbona siku hizi huniulizi kwanini nachelewa...Imekaaje mkuu?