SHUKURANI MKUU @HANS POL

Oluwa ni

JF-Expert Member
May 24, 2015
717
445
Habari za muda huu wakuu
Naamini mpo salama na mnaendelea vyema katika shughuli zenu....
.
Binafsi niko sawa namshukuru MUNGU
Lengo la kufungua uzi huu ni kutoa shukurani zangu za dhati kwa Hans Pol

Kupitia uzi wa namna ya kucheat dream league soccer niliona akiwa anawaelekeza watu tofauti na mimi nikaona sio mbaya nikipata msaada...

Hii ni kutokana na kucheza game ilo huku nikipata coin kidogo ambazo zisingeweza kusajiri wachezaji wazuri wenye uwezo na kufanya mambo mengine kama kununua uwanja, kutibu wachezaji n.k

Nashukuru Hans Pol nilim pm akanipatia namba yake na akanielekeza hatua kwa hatua na sasa hivi nina coin za kutosha, uwanja mzuri, wachezaji wote ninao ninaowahitaji....

Yaani sasa hivi ni mwendo wa kupiga goli 7 mpaka 9 kwa mechi moja

Nipo division 2 sasa hivi naitafuta elite division

Asante nyingi kwako mkuu Hans Pol
4602a575eeb4d6d59c0d6d2a6e1913e4.jpg
fc62b4f45921b818cf19286ae93f62d5.jpg
310e2a212ec38d274325e0fed07eaa22.jpg
 
Back
Top Bottom