Shukrani za dhati kwenu marafiki zangu wapendwa.

Shukrani za dhati kwenu marafiki zangu wapendwa.

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,864
Reaction score
2,157
Dear JF MMU members...

Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kuwa nanyi marafiki zangu kwa kipindi chote cha mwaka huu hadi kufikia leo hii. Ingawa hatufahamiani kwa sura lakini kwa njia hii ya nyuma ya key board nimejifunza, nimefarijika, nimefurahi sana kwa kampani yenu.

Niwatakie sikukuu njema za Christmass na Mwaka mpya.... msherekee kwa Amani na kwa uangalifu. Msisahau kumshukuru Mwenyezi Mungu aliewajalia kufika mwisho wa Mwaka huu.

Mwisho kabisa: Tathmini mipango uliyokuwa umepanga kwa mwaka huu kama umefikia malengo yako... if not tizama uliko jikwaa/teleza na usonge mbele.

LOVE U ALL
 
Na mimi pia nakutakia wewe Heri ya Christmas na Mwaka mpya mwema!!
Enjoy with your family................
 
Uendelee kubarikiwa na kuomba mungu zaidi ili akupe hekima na busara za kuja kuwageuza wengine ambao wanaonekana wapo humu kama kujaza idadi na si kwa lengo la kutaka kujifunza na kufundisha.
HERI KWA WOTE WALIAMINIO JINA LAKE ALIYE JUU.
 
asante nawe pia tunakutakia kila laheri katika msimu huu wa sikukuu na pia maandalizi mema ya kuumaliza mwaka na kuukaribishamwaka mpya
 
nawe pia uwe na noel njema na mwaka mpya wenye baraka tele.
 
Nikutakie christmas yenye baraka na furaha tele!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom