Shukrani ya Punda.........

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Baada ya kutoka kunywa Juice Ikulu....

juice.jpg
 
Acheni ujinga nyie,juice!juice! Kwani vilivyopo Ikulu mlienda navyo? Pale hata Ikulu panaendeshwa na kodi ya kila mtu,hata muuza viatu pale manzese kodi alipayo ndiyo inayogharamia makulaji na utanuzi wa wote waishiyo Jumba kuu. Mmegeuza suala la juice kama vile JK alienda nayo pale toka Msola au imetengenezwa Lumumba. Ukiona umeenda kwa mtu halafu ulichokula kwake siku hiyo ni agenda ya mfano mwaka mzima basi ujue huyo ni 'DHAIFU'
 
Mkuu kwahiyo ulitakaje? ulitaka mbunge wetu wa UBUNGO afunge domo kwa sababu ya chai ya IKULU?!!!
 
Kuna vitu president wetu pamoja na udhaifu wake mwingi , president anapenda sana changamoto na mawazo tofauti, bila shaka anayafurahia hayo, tatizo ni kwamba tu huwa si mtekelezaji chanya wa hizo changamoto!
 
Unajua jamaaa wanaosema Dhaifu halafu wanaendelea kunyenyekea, nawafananisha na mwamnamke anayesema kuwa mwanaume wangu ni dhaifu kwenye Mambozi lakini haondoki kwa huyo mwamamume na bado anamvulia nguo. Kama wewe shupavu si ukamvulie mwanaume mwingine, haya mengine yanatokana na Shida za watu.
 
Irrelevant example!
 
Chadema mimi nawaambieni kama alivyosema watu wanavyowashabikia eti MAKAMANDA hawana cha ukamanda wowote bali wanapepo la KICHAGA kutawala nchi hii nashangaa sana watu wengine wanavyowashobokea mimi nataka ZITTO,WENJE, WATOKE CHADEMA tuje kufanya mapambano nccr mageuzi am sure KIGOMA, MWANZA,RUKWA,KATAVI,MBEYA ,DODOMA.IRINGA,DAR ES SALAAM wote watajiunga NCCR mageuzi siyo CHADEMA. Ila SUGU hulka zake abaki tu CHADEMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom