Hongera, kama kuombewa kumekusaidia basi usijiweke mbali na maombi mara kwa mara yatakusaidia
Shetani hutusulubu pale tunapojitenga tenga
Hivi unakumbuka Yuda aliingiwa na shetani kwa kupenda kujitenga?? DUmu katika maombi
Hakuna gumu linalodumu milele
Unapoona huna suluhisho kwa muda, 'Stand still and let God move'
Baada ya muda utapata suluhisho tu, iwe ugonjwa iwe mali au iwe mahusiano.