Shukrani sana wana JF

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
9,087
Reaction score
6,393
Dear Brothers n Sisters wa JF.
Recently nilipata msiba wa kuondokewa na shangazi na binamu yangu.
Naomba kutumia jukwaa hili kuwashukuru sana wana JF wote walionipa pole za msiba huo.
Asante kwa wote mlionipigia simu,text,PM,na wote waliochangia kwenye uzi.
Mbarikiwe sana watu wa Mungu.
Pamoja sanaaaaa.
VD
 

Pole sana mkuu.... Karibu tena jamvini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…