Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
niliweka post hapa kuomba msaada juu ya ada ya chuo.nasoma DUCE ualimu.sikupata mkopo mwaka huu na nimetakiwa kujilipia ml 1.vinginevyo nisubiri mwaka kessho niombe tena mkopo.niko mwaka wa mwisho na nakusudia kumaliza mwezi wa saba.NASHUKURU mwana JF mmoja aliye abroad kanichangia dola 100 kwa western union.naomba msaada wenu tafadhali.napungukiwa laki 2 na mwisho ni ijumaa hii.mungu awaweke salama