Shukrani kwenu wanaJF, niwemeza kutatua suala la umeme

Mnamo 24/05/2020 nilikuja hapa jf nikiwa na changamoto ya kuchangishwa sh.30,000/- kwa ajili ya umeme katika nyumba niliyokuwa nimepanga!Asanteni sana kwa ushauri wenu.

Nimeamua kutafuta nyumba nzima ili nijitegemee kila kitu!Ajabu kwa siku sizidishi hata unit 1,kweli nilikuwa ninaibiwa kama wengi mlivyosema!Asanteni sana!Kweli jf ni kila kitu!Zaidi ya yote nimefanikiwa hata kununua uwanja wangu!

ASANTENI SANA!
Hongera kwa kupokea na kufuata ushauri wenye manufaa

Jr
 
Kma uko alone ungevumilia tu..hiyo hela ya kupanga nyumba nzima si bora ungeianzishia ujenzi??au !
Ni kweli ila haitoshi kwani nimepata kanyumba ka vyumba viwili na sebule kanakojitegemea kila kitu nje kidogo ya jiji kwa 100000/- kwa mwezi Mimi kananitosha kulingana na shughuli zangu!
 
Mnamo 24/05/2020 nilikuja hapa jf nikiwa na changamoto ya kuchangishwa sh.30,000/- kwa ajili ya umeme katika nyumba niliyokuwa nimepanga!Asanteni sana kwa ushauri wenu.

Nimeamua kutafuta nyumba nzima ili nijitegemee kila kitu!Ajabu kwa siku sizidishi hata unit 1,kweli nilikuwa ninaibiwa kama wengi mlivyosema!Asanteni sana!Kweli jf ni kila kitu!Zaidi ya yote nimefanikiwa hata kununua uwanja wangu!

ASANTENI SANA!
Umenunua uwanja wako? kutoka kwako mwenyewe? au lugha gongana?
 
Back
Top Bottom