sina budi kutoa shukrani kwa wote walio shiriki tangu mpendwa wetu dr ulimboka kukutwa na yaliyo mkuta hadi walipofikia sasa kwani twaamini nimwenyezi mungu ndie muweza, pia naomba kutoa shukrani kwa watanzania wote walioamua kutoa pesa zao kuweza kunusuru maisha ya mpendwa wetu, pia wote walio kesha kwa maombi usikucha kwa kumuombea ndugu yetu. Kutoa ni moyo na sio utajiri.mungu mbariki na umlinde mpendwa wetu.