Najua kudhiliwa tena najua kufanikiwa katika hali yoyote, na katika mambo yoyote,
Nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Wafilipi 4:12-13
Mungu yupo pamoja nawe katika mambo yote JS.