Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,915
We Bandu vipi,Dekoda za Azam TV ni za kisasa kweli.Maana haina haja ya kusearch Channel mpya.Bado sijaipata star tv ,nime auto search lakini chenga
We Bandu vipi,Dekoda za Azam TV ni za kisasa kweli.Maana haina haja ya kusearch Channel mpya.
Ina ji auto seach yenyewe bila hata kuguswa.Mie Tv ilikuwa wazi basi ikaja bar ya kuji autoseach muda nakuta Star tv ndani.
Basi ipe muda kiongozi,maana hata mie kuna jamaa aliniambia kwake haijaingia,ila jioni hii kaniambia tayari imeishaingia.Ndugu yangu labda kisimbuzi changu ni fake ,sijaona chochote wala sikujua azam wameongeza star tv na channel nyingine mpaka nilipopitia uzi huu,nilivyo auto search nimepata channels nyingine zilizoongezeka lakini channel 113 ya star tv bado sijaipata
Namuona mzee wa AMKA na BADILIKANilikuwa nasumbuka sana ikifika Saa tatu Usiku Dira ya Dunia na Asubuhi Tuongee lakini kwa sasa yani Full Handaz. #Bakhresa_Miaka_100.
View attachment 250793
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!
Zipo kwenye mchakato,urushwaji wa hizi Channels unaweza huku ukawa umeruhusu ila system za channel hizo zikawa hazijawa formatted kuruka moja kwa moja.Na hili linakuwa sio tatizo kwa AZAM ni tatizo kwa wenye hizo Tv.Tambua kwamba channel yotote inayounganishwa inatakiwa kuwa na kibali na mkataba maalum.Kuna channels nyingine zimeongezwa ila nazo hazifunguki kama QTV,TVM Malawi nk. Mwenye tarifa zaidi
usukuma umetoka wp tena hapo? au na bifu nao?we ni msukuma au! maana wasukuma nao kaazi kweli kweli.