nshomilewaitu
Member
- May 9, 2015
- 41
- 14
Mkuu channel za bongo ni
ITV,Star TV, Channel 10, EATV, TBC1, ZBC1 &2, Clouds TV, Azam 1&2 nk.
Za kenya ni
Citizen, KBC, K24,NTVKenya, na KTV
Channel za wanyama specific sijaona but kuna docummentary channels km NatGeo, Viasat Nature/History, na Discovery science.
Mziki kuna
Box TV, MTV
Nadhani nimekujibu mkuu.
kwangu star tv imekuja lakini hainyeshi,msaada wadau
Mbna kwa wifi yako siipati.
yan uongo mtupu mbona amna iyo namba 113 wala startv
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!