Hakika nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa uongozi wa vingamuzi vya Azam TV kwa kutuletea Star Tv inayopatikana channel 113.
Watumiaji wengi wa kingamuzi hicho walikuwa wanakimisi kipindi pendwa cha dira ya dunia kinachorushwa na star tv Saa 3:00 - 3:30 usiku Jumatatu - Ijumaa.
Kwa niaba ya wote, tunawashukuru sana kwa kusikia vilio vyetu, sihami tena.
Jumapili njema nyote
mbona kwangu haionyeshi na nimejiunga kwenye kifurushi cha azam play? najaribu kuwapigia lakini simu yao inaita muda mrefu bila kipokelewa! inaandika access denied.wadau wenye utaalam waniambie!
Hama mabondeni mkuu serikali imeagizwa mkatiwe huduma zote muhimu kuanzia wiki ijayo.
mkuu sipo dar nipo mwanza!
mkuu sipo dar nipo mwanza!
hama mabondeni mkuu serikali imeagizwa mkatiwe huduma zote muhimu kuanzia wiki ijayo.
mkuu sipo dar nipo mwanza!
Mbna kwa wifi yako siipati.Hakika nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa sihami tena.
Jumapili njema nyote
Itabidi ninunue Azam sasa
naonba kujuzwa chanel gan za bongo na kenya zninzipatikana azam!? je wanyama ni ngap!? mziki je!? nahitaji majibu
Hivi gharama kwa mwezi ni kiasi gani. Na ili upate channel za cartoon za watoto nilipie kiasi gani. Nsuliza hivi coz mwanzo nilikuwa nalipa 12500 napata zote naza watoto. Ila sasa sipati kabisa nanimelipia mara 2