Shuka mpya za kimasai bei za jumla

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,022
Reaction score
871,113
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Zitanifaa hizo shuka embu waambie waniletee..
 
Leo mchana kuna mtu nimemchokoza kanijibu wew ni wale kati ya uwiano wa 4 kwa 1! sikumwelewa anamaanisha nini dah kumbe jamaa alinidharau hivyo kesho namtafuta!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo ukaja kulipizia kwangu loh
 
mshana jr uliipataje hii au ni weye ulimpiga picha?? Dah! Kuna watu wamekaa na mali lakini hawazioni ati mpaka awaoneshe jirani awaambie bei.
 
mshana jr uliipataje hii au ni weye ulimpiga picha?? Dah! Kuna watu wamekaa na mali lakini hawazioni ati mpaka awaoneshe jirani awaambie bei.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…