Hawa jamaa walinipigia jana... Eti kwanini siku hizi situmii mtandao wao, wamesahau kua mb wamepandisha bei0713800800
View attachment 420931View attachment 420932[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
0713800800
Leo mchana kuna mtu nimemchokoza kanijibu wew ni wale kati ya uwiano wa 4 kwa 1! sikumwelewa anamaanisha nini dah kumbe jamaa alinidharau hivyo kesho namtafuta!Najua ulimaanisha kuwa hupendi ujinga kwa lugha nyingine [emoji12] [emoji3] [emoji3]