shujaa wa mwisho kufa.

shujaa wa mwisho kufa.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,856
CRLKsz0WsAExgF2.jpg
CRLKsz0WsAExgF2.jpg
 
Uyo shujaa mbona hana afya ya mwili hadi ya akili
Coz walikuwa wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wajerumani huko kusini mwa Tanganyika.Walikuwa wanalipwa ujira mdogo pia kazi masaa 12 hakuna kupumzika
Huyo anaitwa Suleiman Mamba kiongozi wa kabila la Wamwera wakati wa vita vya Majimaji mwaka 1905-1907 hapo amepigwa picha baada ya kukamatwa na wakoloni.
Kama una swali lingine uliza/
 
acaha dharau,wewe hapo ulipo na nguvu zako na akili yako hujawahi fanya chochote cha kukumbukwa na taifa lako,leo huyu mwenzako ambae umemsoma shuleni na anajulikana hadi nje ya mipaka ya bara lako bado unamuona hakuwa na afya ya mwili na akili,acha kutumia macho kumjaji mtu,ndio maana wakati mwingine tunasema Jf hakuna great thinker
 
Acha kuongopa wewe g. o. at
 
Kupigwa tu picha ndio amekuwa shujaa tayari?
 
Coz walikuwa wanatumikishwa kwenye mashamba ya Wajerumani huko kusini mwa Tanganyika.Walikuwa wanalipwa ujira mdogo pia kazi masaa 12 hakuna kupumzika
Huyo anaitwa Suleiman Mamba kiongozi wa kabila la Wamwera wakati wa vita vya Majimaji mwaka 1905-1907 hapo amepigwa picha baada ya kukamatwa na wakoloni.
Kama una swali lingine uliza/
Iyo picha imepigwa mwaka gani Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom