Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Labda kama aliwahi kupata chochote kitu miongoni mwa manusura wa ajali who knows?
 
Majaliwa amefanya wema wake shida baadhi ya watanzania kutokuwa na shukrani hata mavuvi wenzake wanazungumza walikuwa pamoja watu wangapi walikuwa wanaangalia tu sikutegemea hoja kama hizi
Tikisa ubongo kidogo
 
Ni kweli...bahati nayo kwenye maisha ipo.
 
Kama kuna watu walihatarisha maisha yao kupata chochote kitu pale morogoro kwa kuzoa mafuta yaliyomwagika na kupelekea watu wale kuungua Moto

Itamshinda vp a mere maskini anae gaagaa na upwa kukimbilia ndege ili angalau abahatishe kitu?

Lkn hoja kuu hapa ni namna majaliwa alivyo fanya yote hayo kwa muda mfupi na story yake kutrend kuliko ajali yenyewe?

Kuna code wengi wenu mmeshindwa kuzifungua na itachukua muda kufanikiwa japo wachache machale yamewacheza
 
Kuna interview za majaliwa hujaskiliza. Umeruka ruka vipande unataka uje kuwa great thinker bila enough research mkuu. Mbona alisema alipotoka kwa pilot alimuelekeza kuna mlango wa emergency then akaona kamba akaichukua akawa anataka aje aifunge sehemu ili aendelee kuokoa watu kumbe kamba inavutika ikamchapa akapoteza fahamu. Sasa adanganye ili iweje.

Wewe ungefanya nini kama ungekua eneo la tukio?

Acha mtoto wa watu ale neema zake
 
Kwa kuwa wewe ni great thinker kuliko wote humu basi sawa tumeamua tusizione hizo code. Tukio lishatokea
 
Na wewe ukaamini kwamba majaliwa aliongea na rubani chini ya maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
All in all Majaliwa mvuvi ni shujaa chawa acheni wivu. Hajajitangaza mwenyewe ila waliyoshirikiana na waliyoona ndio wameona roll yake. Bila shaka kijana ni jasiri na mwenye uwezo kufanya maamuzi.
Ushujaa wake hajapewa na dola ambayo ilishindwa kufanya kile kilichotakiwa. Hawana cha kikosi cha uokozi efficient ila ni cha jina na kuoneshwa kwenye magwaride tu. Hawa kwanza hawafurahii kuona raia eti ndio shujaa wa uokozi kwenye ajali kama hiyo ya ndege. Hawawezi kumchonga raia eti ndio shujaa.
 
Something is cooked something ili wenye upeo mdogo msifikirie nje ya box

Leo mjadala mkubwa ni shujaa majaliwa na sio uwajibikaji wa wenye dhamana ktk ajali ile.

Watu kama nyie mpo wengi humu vichwa ni vigumu kufunguka[emoji21]
 
Serikali imejua kuwaweza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221113-082851.png
    247.1 KB · Views: 15
NI WA MCHONGO SHUJAA ni ABIRIA alikuwa kwenye Ndege Anaitwa VICTOR huyu alikuwa Mtu wa kwanza kutoka baada ya Mfanyakazi wa Ndege KUFUNGUA Mlango kwa ndani
 

Hakukosea aliyesema hii nchi ni ngumu sana. Siasa kila mahali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…