Shujaa Majaliwa ni wa mchongo?

Nimepinga tangu mwanzo kuwa huyu majaliwa is a small part in the wholew saga of kuokoa if not "nonsense" katika story nzima ya uokozi wa abiria. Nilipinga tangu mwanzo, praise and worship takataka zinanitukana. Nimeendellea kupinga maana mimi si dodoki kupokea/kufyonza kila kitu bila kuhoji wakati kuna kitu unakiona kuwa hihki hakiwezekani kwa environment iliyokuwepo pale! asante for cementing that!
 
Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio[emoji20]

then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo

tafakari

Mkuu neno Tafakari linakuhusu zaidi wewe. Hata kuwaza Tu kuandika uzi huu ulipaswa utafakari kwanza kwa kina nini unataka na Lengo lako ni nini. Lakini la msingi zaidi Jifunze kuwa na Shukrani. Uwepo wake nk inatosha.

Wakati wewe unatumia bando lako kwa Tafakari (negative) yeye alikuwa anatafuta Mlo wa Familia. Naamini Maombi yake yalikuwa at least apate daily kitu cha kusaidia Familia yake.

Mimi nimemsikia akihojiwa na ameeleza mambo mengi akitumia uwingi, yeye na wenzake. Sasa sijui wewe version yako umeamka nayo wapi.
 
Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio[emoji20]

then yy ndio aojiwe pekee kati ya wote waliokuwepo

tafakari
Sasa hilo ni jukumu la majaliwa la kuhoji watu wengine?
Walio mfuata na kumuhoji ndio wanajua nn kilicho tokea na ndio maana walimfuata yeye na si hao wengine.

Yaani hako kaajira aliko pewa Majariwa ndo kapo kana kuchoma roho yaani watz kwa wivu hatujambo.
 
Katika filamu yoyote ya kutisha washiriki ni wengi ila komando ni mmmoja!!
Hiyo filamu komando alikuwa shujaaa majaliwa!! Acheni ale mema ya inchi, MUNGU ni wa wote
Sasa ni mema ya nchi yapi anayokula aisee ila watz ama kweli ni mbumbu wa kupindukia!!
 
Majaliwa ni kweli kuna effort aliifanya , Kwanza kutoa first alert ya ajali Kwa wavuvi wenzake na kuchumpa eneo la tukio , na kweli kuna jitihada aliifanya , Ila kuna vitu vingi vipo exaggerated kuhusu ushujaa wa majaliwa , sema dogo kalala maskini kaamka tajiri
 
Stuka mkuu story ni hizo hizo kwa kila mtu huoni kuna Jambo limefichwa hapo?
 
Atleast you think something.
 
Wewe ni miongoni mwa wale wanaotaka Jambo hili lipite kama lilivyo bila ya tafakuri ya kina

Simuonei wivu huyu shujaa lkn something is wrong somewhere.
 
Mwache afande Majaliwa ale mema ya nchi...

Kama unashangaa ya Majaliwa. basi hujakutana na ya Piere Liquid na Dr. Shika.... Yawezekana hujaona ya Babu wa Loliondo wala ya bondia mtaalam wa kupigwa... .
 
It's not about ajira mkuu it's about the truth,

Kuna kamba nyingi sn tume fungwa Sasa wachache tumestuka

Halafu Sasa huyu shujaa ukimsikilza vizuri maelezo yake hayapo consistently

Leo akihijiwa ni tofauti na Mara ya kwanza wkt anahojiwa pale kitandani

Hili pilau lililopikwa limewekwa viungo vingi[emoji3061]
 
Kati ya wavuvi woote waliokua wanaokoa watu pale imekuwaje ni majaliwa Pekee ndie akachukua nafasi kubwa?

He is a star of a Rescue Team tumpe pongezi zake.

mimi wivu nimemwachia shetani
Open the puzzle mkuu.
 
Hizi sio katika sifa za mwanaume aliyekamilika kuwa hater kwa mambo ya watu bila sababu ya msingi
Jamaa kusogea tu hadi eneo la tukio ni ushujaa tosha ndege ingeweza hata kulipuka pale inaonesha ungefurah kusikia "
waliojaribu kuokoa watu katika ndege wamefariki baada ya ndege kulipuka"
Waokoaji walikuwa wengi lakini ndo zari limemdondokea dogo achana na chuki za kike assume tu ni mdogo ako au kaka ako au mwanao ni Majaliwa itakusaidia kupunguza chuki kwasababu kivyovyote vile ungekuwa upande wake tu

Acha umama utaota manyonyo,

Generation yakina jumalokole tabu tupu
 
Sasa ni mema ya nchi yapi anayokula aisee ila watz ama kweli ni mbumbu wa kupindukia!!
Wewe ndio mbumbu, Mimi nimetumia lugha kuwasilisha ujumbe Kwa hadhira ila wewe hujaelewa nilicholenga kuwasilisha,
 
Huu uzi ulitakiwa kuishia hapa [emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…