Shuga mamy

Shuga mamy

Kuna wakati wanaume wanaoa mpaka visivyooleka, imagine mume anawekeza kwenye duka kumbe mkewe ndo kafanya la kulelea masharo wa mjini!!!!

Yaani kuna wanawake ni zaidi ya changamoto kwa kweli.....

We rudisha hiyo hela, si kwa sababu ya huyo mwanamke ila sababu ni ya mwanaume mwenzio. Jione kama ulikuwa umekopa mahali, usimrudishe mtoto wa mwanaume mwenzio nyuma sababu ya huyo mkewe mpuuzi!!!

Umeona sasa,..!?
 
Back
Top Bottom