No 2 mbili nimeipendaSalam kwenu wakuu,
Watoto wa kike au wasichana shtukeni muda sio rafiki
1: Miaka 3 unagandana na mme wa mtu alafu unawakataa vijana unajizivia mwenyewe riziki kutwa kwa wachungaji eti unatafuta mume wakati unatembea na mume wa mtu, shtuka Mungu anakuona.
2: Mtoto wa kike una watoto 2 kila 1 na baba yake alafu unaweka sifa za mwanaume unaemtaka akuoe, shtuka utazeekea nyumbani wewe.
3: Msichana unafika geto kila kitu kimo ndani unaulizwa tule nini, unadakia tukanunue chipsi, shtuka wanaume hatuowi ujinga ujinga sisi.
4; Umeahidiwa mtoko na baby wako bahati mbaya siku imefika anakwambia mama yake anaumwa anahitaji pesa, anakuuliza mtoke au amtumie mama yake hiyo hela, unajibu kwa kujishaua tutoke baby nawaamini kaka zako watamtumia, siku zako zinahesabika wewe.
Ni hayo tu kama unalakuongezea ili dada zetu hawa washtuke tupia tu mdau
Alikuomba ushauri?Salam kwenu wakuu,

Huyo mtoto wa kike uliyemuandika.Nani
Mkiacha kuwazalisha hovyo hawatazaa hovyo....Stkuka bint Usizae hovyo kisaha uje kusema wanaume wabaya
Sijawah kumtia MTU mimba Mwakani ndo Nataka kuwa Big Daddy by the way wengine munataka wenyeweMkiacha kuwazalisha hovyo hawatazaa hovyo....
Tunatakaje wenyewe?Sijawah kumtia MTU mimba Mwakani ndo Nataka kuwa Big Daddy by the way wengine munataka wenyewe View attachment 406602
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115]Huyo mtoto wa kike uliyemuandika.
Wengi hawataki kuolewa wanakwambia bora kuzaa mtoto watalea kuna moja namjua kabisaa ye kazaa na mume wa mtu makusudiTunatakaje wenyewe?
Sijawah kumtia MTU mimba Mwakani ndo Nataka kuwa Big Daddy by the way wengine munataka wenyewe View attachment 406602
Ahhh wapi!!!!Post hii ni Pigo lingine kwa single parents humu jamii forum... Haswa point Namba 2