Hahahaha, lazma umegoogle! Yaani shower gel ya paco rabanne? Si bora amnunulie uturi akachapie fimbo kitaa, lol
shower gel nzuri, bei rahisi and makes you smell yummy ni fa ya honey , milk and youghurt. Chupa transparent ya baby yellow colour.
Otherwise victoria secret na avon wana flava mbali mbali, na bei sio ya kuvunja kabati.
mtoto wa kambo mbaya wewe!!
Mie naogea kwanga, natumia simla na cobra, afu unaniambia niogee shawa jelly ya laki na nusu?
Bafu la pasipot?
Mna makubwa nyie watu8?
Hahaha, chezeiya KING'. makaveli mwanzo mwisho, hapo mie naonaga shower gel ya bei ghali ni msele aisee. Hizo za FA mbona supermarket ya mangi zipo? Ukijisogeza avon na victoria sec aaah wekundu watatu maximum. Mi sijawahi hata kugoogle paco rabanne wala cK shower gel. Si bora kiperfume cha kutokea? (perfume shurti nyingi kwa dressing table, kuna ya kuendea kariakoo, ofisini, ngwasuma na savannah lounge).
Hii shower gel ndio kitu gani? Hebu tuelimishe na sisi watu wa kijijini tukuelewe kwanza.
mtoto wa kambo mbaya wewe!!
Mie naogea kwanga, natumia simla na cobra, afu unaniambia niogee shawa jelly ya laki na nusu?
Bafu la pasipot?
Mna makubwa nyie watu8?
Sabuni ya kuogea itengenezwayo katika hali ya kimiminika, huwa nzito nzito mithili ya asali. Sabuni hii ni mahsusi kwa kusafisha ngozi wakati wa kuoga na huambatana na manukato mazuri.