Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Tafuta punje za mahindi, kuku Waki pita warushie Huku una elekea ndani kwako🤒🤣.Nielekeze tukaibe wote hao vifaranga,nimechoka chakula na mboga fulani kila siku.
Hilo jambo limeisha,Tukutane meza ya chakula.Tafuta punje za mahindi, kuku Waki pita warushie Huku una elekea ndani kwako🤒🤣.
👉Lazima wajae wote🤒
Notoe tahadhari, be careful- Wana jamii hawana jema🤣🤣Hilo jambo limeisha,Tukutane meza ya chakula.
Ahsante sana.
Maisha yangu ni tandale,hawawezi kunipata kwa kipaji ya wizi na kukimbia.Notoe tahadhari, be careful- Wana jamii hawana jema🤣🤣
Yesss show za kibabe or unaweza kupaita (kilingeni msata,pale tu uonapo vibuyu vimewekwa)
Sawasawa [emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Oya bro taratibu Sasa[emoji848][emoji1787]
Sawasawa [emoji1548][emoji419][emoji375]Baadae nafika kibaha,nitahitaji hizi vifaa niwashughulikie walimwengu.
Hahahaha hazina rivasi hizo ujue halafu huwa hazipigi ikulu[emoji23]Bro Mshana Jr tafadhali Sana, huyu ni chizi so kuwa nae makini [emoji1787][emoji1787][emoji855]
[emoji117]Anaeza testia kwako [emoji1787]
Naona Ume amua kupiga jiwe gizani🤣😄, Mimi sitaki kuonekana muasi🙏Thoughts on this?JF members.
Intelligent businessman leta mawazo yako ili tukutibu kabla hujaoa
Na jf members wote.
View attachment 2869537
Mshana Jr huyu bro ana taka kuharibu Sasa🤣😄Thoughts on this?JF members.
Intelligent businessman leta mawazo yako ili tukutibu kabla hujaoa
Na jf members wote.
View attachment 2869537
HahahahhahMshana Jr huyu bro ana taka kuharibu Sasa[emoji1787][emoji1]
Ubongo/mawazo yako ndio yanachochea kwa kuwaza tofauti.🤣Naona Ume amua kupiga jiwe gizani🤣😄, Mimi sitaki kuonekana muasi🙏
love yah 💓💓Niko poa💕
Shida niki sema wata chukia, ila hata crew yako ni wale wale🤣😄😄🤒Ubongo/mawazo yako ndio yanachochea kwa kuwaza tofauti.🤣
Jadili kilichowekwa au tubadili .
Nani achukie ?Shida niki sema wata chukia, ila hata crew yako ni wale wale🤣😄😄🤒