Ukifuatilia vizuri huu mkasa utagundua kitu km hufuatilii huwezi kugundua kitu utabikia kua bendera fuata upepo, kwa ufupi tu Scoan ni km secret society na hawataki kuweka wazi maovu Ila waliotendewa na waliofanya kazi hapo ndio wanaosema nini kimekua kikiendelea kwa zaidi ya miaka 20Kuna mambo ambayo nikipata taarifa kwenye hivyo vyanzo nitaamini ila hii ya TB Joshua bado sijapata uhakika zaidi,kuna yeyote anayeweza kuchambua/kufuatilia tangu mzozo wa Tb joshua 2014 ikihusishwa na BBc pia?
BBC sio chombo uchwara cha habari usisahau hiloOh yeah,maneno kila mtu anaweza kusema na kama ushahidi unapatikana, waweke watu wathibitishe hilo
Hapo sasa mfano wa kumpiga zuluman,inaonekana kijana unapenda sana ukorofi🤣
Kanyonye huko
Ni kheri kufutailia kuliko kuanzia hapa liliposemwa.Ukifuatilia vizuri huu mkasa utagundua kitu km hufuatilii huwezi kugundua kitu utabikia kua bendera fuata upepo, kwa ufupi tu Scoan ni km secret society na hawataki kuweka wazi maovu Ila waliotendewa na waliofanya kazi hapo ndio wanaosema nini kimekua kikiendelea kwa zaidi ya miaka 20
Naelewa lakini mengi tu kumhusu huyo mtu ya (2014) hayaonekani sasa kwenye mitandao yao pia.BBC sio chombo uchwara cha habari usisahau hilo
Pastor wa mchongo with a Rotten mouth🤣😂🤒Oh yeah,maneno kila mtu anaweza kusema na kama ushahidi unapatikana, waweke watu wathibitishe hilo
Hapo sasa mfano wa kumpiga zuluman,inaonekana kijana unapenda sana ukorofi🤣
Kanyonye huko
Acha kupiga Picha watu, bila ruhusa yao🤒.
Na mimi nitawafanya nini wana kondoo?Pastor wa mchongo with a Rotten mouth🤣😂🤒
Kijana,tuheshimianeAcha kupiga Picha watu, bila ruhusa yao🤒.
👉 Infringement of privacy is a crime offense.
Wata kuvunja Domo lako kubwa🤣😂Na mimi nitawafanya nini wana kondoo?
Nah, from my point be of view- we ni mfupi na mnene Kama tank la maji🤒Kijana,tuheshimiane
Huyo ni mimi kwenye hiyo picha .
Hii ndomo ya kuhubiria na hii sauti mbaya ,kwa Mungu my voice is pure gold..no cap,inafikisha ujumbe inavyotakiwa..🤣Wata kuvunja Domo lako kubwa🤣😂
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]Nah, from my point be of view- we ni mfupi na mnene Kama tank la maji[emoji855]
Kweli kabisa na your sister is the one who's vibing with me na huu ukitambi wangu🤣Nah, from my point be of view- we ni mfupi na mnene Kama tank la maji🤒
Hizi vibuyu nitabeba nikuletee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1545][emoji1545]Hizi vibuyu nitabeba nikuletee.
Kaka ku deal na pastor wa mchongo Zulu man, Ina paswa upige kweli kweli🤣
For your info, I got no sister who has no brain to understand an imp like yah🤒Kweli kabisa na your sister is the one who's vibing with me na huu ukitambi wangu🤣
Hello shemeji.👋
Nilikuwa natafuta picha yeyote ambayo kitambi kimechomoza niweke hapa lakini sasa naona nitatia aibu mdogo wangu.🤣Nah, from my point be of view- we ni mfupi na mnene Kama tank la maji🤒