Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Sorry niku ulize kitu??, Una hisi kwanini tuna jifunza maarifa??How books be giving you that self dvpt ambayo you can't find anywhere else but in them books?
Tunajifunza maarifa ili kuongeza uelewa,je unaongeza kwa kwa kusoma pekee vitabu? Unatekeleza ili yaendelee kubaki kama tabia ya kila siku katika utendaji fikra,utendaji matendo?Sorry niku ulize kitu??, Una hisi kwanini tuna jifunza maarifa??
👉Kama inge kuwa simple basi tunge jua kila kitu.
👉una niuliza why books??, It's my priority tu 🤒- Kama nyinyi mpendavyo starehe au hobby zenu🤒.
👉and at last ni kujifunza mitazamo ya watu mbalimbali, juu ya maswala tofauti 🤒
Sema siku hizi nime kua, ulicho kuandika ni pumba kwangu.Tunajifunza maarifa ili kuongeza uelewa,je unaongeza kwa kwa kusoma pekee vitabu? Unatekeleza ili yaendelee kubaki kama tabia ya kila siku katika utendaji fikra,utendaji matendo?
Ipi ni njia nzuri ya kukufanya maarifa yako unayojifunza kwenye kitabu yafanye ubongo uone umeyatendea haki?
Tunajifunza maarifa ili kuwa expert kwenye baadhi ya mambo na ili ikusaidie huko mbeleni.
Pitia source za maarifa ili yawe maarifa sahihi ni lazima yalete matokeo mazuri na si kufurahia/kuonekana unasoma tu vitabu vya kuongeza maarifa.
Hahaha umefahamu vipi napendelea starehe na unifahamu?🤣
Mimi napendelea utani sana na watu na sometimes kwa vitu serious kama vya majonzi ninaweza kukutania ilimradi nikuondolee hiyo hali.
Mitazamo ni mizuri kujifunza kupitia watu maana unaweza kuchukua na kuboresha mitazamo yao ila si kila mtazamo ni sahihi kwako,njia sahihi inaweza kuwa moja ila usitembee kama atembeae aliyetangulia maana unaweza kufail.
Hata huyo David shwartz anakuambia ufanyie kazi maarifa na si kumuandika JF hapa🤣
Sababu mimi sio David Schwartz?Aliko dangote?🤣Sema siku hizi nime kua, ulicho kuandika ni pumba kwangu.
👉 I mean no malice to nobody 🤒.
Mkuu maarifa haya thaminiwi, Eti kisa wewe ni fulani au una nini??Sababu mimi sio David Schwartz?Aliko dangote?🤣
Yo' ain't grown yet totoo,go get some mama's milk.When you grow up you'll know if you've matured...no need to prove it.
Nmemis chakula cha sherehe hebu muoe basi yule dada mwenye macho mazuri tuje tule kujigaragaza🤣
Unajikamata sasa "maarifa hayathaminiwi"Mkuu maarifa haya thaminiwi, Eti kisa wewe ni fulani au una nini??
👉Hata chizi ana eza toa ushauri, na ukawa Bora zaidi.
👉Kwa ulicho kuandika hapo juu, inge kuwa zamani ninge kujibu kwa hoja zaidi- ila nime ona your brain is still an infant(no offense)
Nimetamani nimuite aone mwenyewe usemayo ...🤣Nmemis chakula cha sherehe hebu muoe basi yule dada mwenye macho mazuri tuje tule kujigaragaza🤣
Muite bwanaaNimetamani nimuite aone mwenyewe usemayo ...🤣
You brain has two side, right and left.Unajikamata sasa "maarifa hayathaminiwi"
Rejea hao dudes unawapitia kijana, online n.k,umeona uzito unaowachukulia ?kwa sababu ni nani?wanafanya nini...!
Usikatae,thamini maarifa.
🤣
You got this issue where admittin' you're wrong is like pulling teeth kijana.You brain has two side, right and left.
👉In the right there is nothing left, and in the left there is nothing right🤒
Kwahiyo mimi sikaribishwi ?uchoyo kijana utaacha lini.?I mean no malice to nobody.
👉My jobless style 🤒
Cc lovely woman Nuzulati 💓💓.
Tayana-wog USI nipige😀
View attachment 2864040
Amani sana ndugu mshana,namuelewa kijana hana hulka hiyo.Wakuu wangu Intelligent businessman na Zulu man nawaombeni sana mmakinike na mwenendo wa majibizano yenu yasijekufika mahali yakawa out of control na mambo yakawa mengi mwisho uzi ukapitiwa na pilatoView attachment 2864051
Sent using Jamii Forums mobile app