Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
👉Shida pastor una maneno makali🤣😂😂,Mpuuzi sana wewe kijana,🤣
Niko uchochoroni hapa nasubiri juice ya avocado na viazi nirudi nikalale.
Unaweza kujaribu hiyo yangu
Hiyo pazuri ni wapi?oslo...?
Hakuna neno kali,nimesema nasubiri juice na wala sio juicy👉Shida pastor una maneno makali🤣😂😂,
👉Sawa, ila Nakojoa pazuri 🤒.
We jua nakojoa pazuri 🤒Hakuna neno kali,nimesema nasubiri juice na wala sio juicy
Hiyo "nakojoa pazuri" ni wapi hapo?ni oslo,Zanzibar or Dubai?
Sawa,say hello "kwa mrembo wako" mwambie siku yoyote asisahau to whip up some dinner tujumuike pamoja ila usipokuwepo itapendeza zaidi.We jua nakojoa pazuri 🤒
Pastor was mchongo 😂🤣🤣, go to hell 😂.Sawa,say hello "kwa mrembo wako" mwambie siku yoyote asisahau to whip up some dinner tujumuike pamoja ila usipokuwepo itapendeza zaidi.
🤣
Hahaha...!Pastor was mchongo 😂🤣🤣, go to hell 😂.
👉Au hutaki nikojoe pazuri 🤒
Am gud bro, vipi Kuna wine zisizo na kilevi??
Zulu man you got me wrong bro, I don't use any alcohol product.Hahaha...!
Sawa,endelea kutafuta Wine zenye kilevi kijana ili zivuruuge hiyo akili na maneno yako ya ajabu.
You are luck dudeZulu man you got me wrong bro, I don't use any alcohol product.
Wapi hapo??, Na Zina kuwa na ujazo gani??Ok,nikuletee aina gani hapo kondoo wa bwana?chapchaaapView attachment 2861876
Nilivyo Humu ni reflection ya 70 percent of me🤒.Hahaha..!hutaki JF ifahamu wewe chapombe?
Niko vyema mpendwa, hofu juu yako wa ubani wangu😍🤗🙃Kipenzi wa mimi 😍
Unaendeleaje Hani 💕
ZO cafe,ujazo sifahamu ila subiri order yangu ifike nitakuelezea😅...Wapi hapo??, Na Zina kuwa na ujazo gani??
kuna ishu fulani nimeikumbuka kwa sasa nimejikuta nacheka,Najiuliza why sikukuunga mkono kipindi kile kumbe bibie hajielewi 😁😁Niko vyema mpendwa, hofu juu yako wa ubani wangu😍🤗🙃
Acha upuuzi kijana lewa sana,life's short na haina marudio.🤣Nilivyo Humu ni reflection ya 70 percent of me🤒.
👉 Ain't and will never use any alcohol product
We SI uli nionaga mi snitch, so uka mtetea best yako 😁.kuna ishu fulani nimeikumbuka kwa sasa nimejikuta nacheka,Najiuliza why sikukuunga mkono kipindi kile kumbe bibie hajielewi 😁😁