Show za kibabe


Picha ya selfie ya pamoja ya rafiki ambao ni teenagers kabla ya kifo, kipindi wanachukua hii picha walikuwa wana sekunde kumi zimebaki kuishi duniani, sehemu waliyokaa ni njia ya train na kuna train ilipita kutokana na upepo wa train iliyopita na kelele hawakuweza kufahamu kuna train nyingine inatokea upande mwingine (opposite), hii sehemu kulikuwa kuna njia mbili za train. Upande wa kulia huo mwanga ni train inajaribu kuwataarifu, lakini hawakuweza kusikia.

Wawili walifariki palepale, mmoja alifariki baada ya siku tatu baada ya kujeruhiwa vibaya.
 
Wawili walifariki palepale, mmoja alifariki baada ya siku tatu baada ya kujeruhiwa vibaya.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…