Show za kibabe

Asitutishe bhana, hata mimi hotuba ya "serikali haileti tetemeko kahiyo hampati kitu hapa" iliniliza vile vile!!!
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwani viongozi wetu wanachaguliwaga au wanapora madaraka kwa nguvu
 
Jela hazijai mkuu nimeshaanza kuona unamsema nani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] tutatishana mpaka lini? Tunajenga kizazi gani? [emoji24] [emoji24]
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usidhani nimemaanisha ya nanii lakini... mi siko huko! Wacha nimsikilize huyo mama... namkubali sana huyo mama; kwanza kichwani zimejaa na sio za kuunga unga!!!
 
Nina haki na wajibu kamili kwenye hili alimradi tu simkosei mtu kwa namna yoyote ile wala sivunji katiba ya nchi na uhuru wa kutoa maoni kama mtanzania
Sijamaanisha ivo mkuu, naona kama vle ka fani kako unakatelekeza sana siku hizi yani hata hatuoni zile nyuzi zako kali za kusisimua na kuogopesha zikiwa zimeshiba uchambuzi mzito wa kiganga
 
Sijamaanisha ivo mkuu, naona kama vle ka fani kako unakatelekeza sana siku hizi yani hata hatuoni zile nyuzi zako kali za kusisimua na kuogopesha zikiwa zimeshiba uchambuzi mzito wa kiganga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817]
 

Mtani HOTUBA za WAAFRIKA wenzetu ni za vitisho kwa sababu kubwa nne:

1.Siyo viongozi bali ni watawala.
2.Wenyewe hajiamini
3.Uzalendo kwao ni namna gani ya kunyonya mnyonge na kujilimbikizia mali.
4.Viongozi wa DINI kuwaona wao ni bora zaidi kuliko RAIA wao

Kwao kikubwa ni kwa namna gani wanaogopeka.Amani kwao ni unyonge na kutohojiwa kwa maovu yao.
 
 
mkirogwa mkawapa wapinzani nchi itageuka libya hii - hahahaha, ninanukuu
 
Ile kashfa ya kumpiga mama mpaka akazimia na kulazwa tuliambiwa ni mambo ya ndani.afanye hivyo Trump uone kama urais hautakomea hapo
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…