Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../
Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../
Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia
Saint Anne...au sio mwana wane?
Mcheki
Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako
Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../
Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama
Bujibuji.../
Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa
ledada usiwe smart.../
View attachment 1856636