Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha.. Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
Hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level.. geography. 😁😁 Hannah
Kuna dada anamwandiko mzuri humu alitikisa sana jukwaa la MMU nadhani anaitwa.... Jina lake linaanza na B... Mwendelezo ndio sikumbuki alimwandikia mpenzi wake humu kwa kizungu kitamu
Kuna dada anamwandiko mzuri humu alitikisa sana jukwaa la MMU nadhani anaitwa.... Jina lake linaanza na B... Mwendelezo ndio sikumbuki alimwandikia mpenzi wake humu kwa kizungu kitamu