Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Basi usijudge sasa kumbe hata data huna
...utakuwa sio critic utakuwa hater
Mimi nimeuliza sija judge kama nina uhakika

Nimeuliza hiyo show ilikuwa ni concert iliyohusisha wasanii wengine au alikuwa yeye kama yeye?
 
Maoni ya wakenya yanafanana kabisa na maoni ya uzi huu,kiukweli kiswahili kinatuangusha sana kutoboa ni heri wasanii wawe wanachaganya hata lugha kidogo kuliko mwanzo mwisho unawapigia taarabu watu na kwikwii kibao ,na kingine zaid hatuna genre rasmi inayotambulika kama hii ni ya Tz sisi kazi yetu ni kudandia dandia tu mara Amapiano mara sijui manini yaani vurugu tu..
Zuchu kafeli sana kwenda Houston huko nu mbali sana aisee huko ni kwa wazee wa country music tu atleast angeenda hata N.Y au LA kidogo angekutana na watanzania wachache wangembeba
screenshot_20221121-141521_facebook-jpg.2423090
 

Attachments

  • Screenshot_20221121-141521_Facebook.jpg
    Screenshot_20221121-141521_Facebook.jpg
    184 KB · Views: 21
Mkuu ungeongea kiswahili tu kuficha aibu ndogo ndogo kama hizi
We kilaza. Kosoa hata maneno mawili hapo. Maana nyie ambao hamjui kiingereza huwa mnaona huu uchawi. Ukinionesha makosa mawili tu hapo ntaomba nipigwe ban. Maana umekariri hayo maneno hata hujielewi maskini.
 
inawezekana 100% hakuitangaza vizuri show yake kama wenzie wanavyofanya. wenzetu wanaija wakienda ughaibuni wanapromote sana shows zao kwenye billiboards na radios za majiji ya kule.

btw zuchu hana sauti hiyo ya kusema wazungu wajae wamtazame.
Wazungu au waswahili kutoka Africa!?
 
Asikate tamaa japo hiyo English yake kwenye post imeniacha hoi bin taaban
Kwani wew cha kwako kiko vip mzee unaweza kukosoa lkn kumbe wewe ni mbovu zaid ,mm naamini hujui na huna kingereza kizuri bali unacho juwa nikuzungumza a very broken english
 
Back
Top Bottom