Kwa wale mliosikiliza XXL siku ya jana walikua wanaongelea tamasha la MTV Base Africa kwa kushirikiana na YouTube, na Tanzania tulikua tunawakilishwa na wasanii wawili bibie Nandy na mtu mzima Diamond Platinumz
Basi katika kusifia tamasha hilo B-Dozen akasema “kama kunifukuza kazi Clouds mnifukuze ila Almasi ameua sana kwenye performance “