Mhhhhhh Kingereza kwako kigumu.
.
Hiyo show wamechaguliwa wasanii wakubwa wanao fanya vizuri ktk music industry ya Africa kwa ajili ya kuchangisha hela kwa waathirika wa Covid19 ina lenga watoto wa Africa.
Dah kweli leo ndio nimekuelewa vizuri,yaani unamchukia mtu mpaka sehemu zisizohusika,yaani wewe ukiambiwa umtengenezee sumu Diamond kwa jinsi ulivyo na roho mbaya utaionja kwanza alafu utampa.
Soma post hizo uzielewe na si kukurupuka.