Show Ya DIAMOND Mwanza "KIMENUKA"

Leo jioni nimemwona akipitishwa hapa A town na gari la matangazo akidai leo atatoa shoo yake pale Kisongo kwenye Club ya Sundown Canvor na sijui kama atapata wateja kwa sifa yake mbaya niliyopata wakati akitangazwa!


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Diamond Platinumz[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
I think his biggest mistake ni kujiingiza kwenye mambo ya CCM

wengi waliotumbukia huko hawajarudi tena juu

HE SHOULD JUST STAY AWAY FROM POLITICS
 
Wasanii wa Bongo f;eva hua wanaingia kwenye laana wakijiingiza kwenye kuwatumikia magamba
 
Alikuwa hajui kuwa Taarab inatosha kule Zanzibar? Tumezoea kurusha roho sio kuja kuona chupi za wanaume!
 
si wamegombana na mganga wake?au hujui?

Teh teh teh,na jinsi alivyompania,inawezekana akampukutisha hata utajiri wake,ndo tabu ya kutegemea miyakayaka ili kuwa na mafanikio,bora kumtegemea aliye juu,mungu tu
 
Hilo ndilo fundisho ukishajiunga na maccm ujue wananchi wanakuadhibu kimya kimya!!!
Endelea na
maccm usichanganye mambo.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Diamond Platinumz[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Tatizo amepata sana umaarufu na uzinzi ukazidi
 
Yeye analipwa mapema mkwanja wake ishu kwa promota hela yake kama itarudi
 
Hana jipya yy kila siku Wema na Kidoti nani atapoteza muda na fedha yk kwa kuangalia show ya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…