Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza ambapo Diamond alikuwa na show jana kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.
Msanii wa kizazi kipya Diamond katika baadhi ya "shows" zake hivi karibuni Zanzibar na Mwanza.
Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.
Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000
Kwe kwe kwe kwe!!!lol nimecheka sana leo anapiga arusha mlangoni kawaoda 250000 kati 50000 na v.i.p aka pratinum city 150000 club mpya kisongo ya kina victor kichwa kikubwa mtoto wa jango master.
Kwe kwe kwe kwe!!!lol nimecheka sana leo anapiga arusha mlangoni kawaoda 250000 kati 50000 na v.i.p aka pratinum city 150000 club mpya kisongo ya kina victor kichwa kikubwa mtoto wa jango master.