Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,386
Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa.

Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show inathibitisha kabisa mziki wa bongo flava bado una safari ndefu kutoboa kimataifa hasa nje ya East Africa.

Collabo ni njia mojawapo ya kutoka kwenye ngumu kama South Africa na Nigeria japo kuna baadhi ya mashabiki wanazibeza.

Sasa kama Alikiba na ukubwa wake huo amepata idadi hiyo ya watu, Billnass, Baraka da Prince au Timbulo atapata watu wangapi? Wakati chipukizi wa Nigeria Tekno akija bongo ndo main Artist.

Jionee picha za jana jijini Durban

FB_IMG_1487486012230.jpg


FB_IMG_1487486024989.jpg
 
ali kiba mkubwa hpa kwetu tuu na hataki kukubali kama mwenzake diamond kafanya kazi kubwa mpaka hapo alipofikia...sasa yeye anaona ushabiki ulivo hapa ndo anajiona yuko juu sana bt kiukweli anatakiwa afanye kazi kubwa wala asitanie na kwa kipaji atafanikiwa bt sio bla bla hzi za kibongo
 
Ali kiba ni msanii mzuri isipokua yeye ajiona bora sana na tabia zake za kibongo kutotaka au kukubali bado kiwango chake kidogo na hataki kujifunza.tofauti na diamond. Hili ni funzo kwake na akina baraka na wa aina hiyo after all hata kwa tungo zao bado ni chache sana
 
Back
Top Bottom