Tatizo ni Show kuwa nyingi kwa siku moja AU promotion? Maana Ijumaa km kawaida Twanga wanapiga,Fm wanaunguruma,Mapacha km kawaida,Mashujaa wapo Millenium,..... Madisco nayo km kawa hayakosi watu! Sasa embu nyoosha kauli yako Shida ni kituo flani kufanya promotion ya hizo show mbili au Ilitakiwa Watu wooooote Dar tuende Nyumbani Lounge?