Hii ilikuwa diss track at the same time ni hit trackHahaha
Jamaa alikua creative sana ila kafa akiwa ndo ameanza kupata pesa .Hii ilikuwa diss track at the same time ni hit track
Kafa akiwa mdogo piaJamaa alikua creative sana ila kafa akiwa ndo ameanza kupata pesa .
Okay wazee wa 90 's.
Mi niko nasikiliza diss ya mashine gun kelly (MGK) kwa eminem.
I'm eagerly waiting for the retaliation from slim shaddy, with my fingers crossed!
Mtoto katoka juzi tu, anaanza kuvimba kifua kwa the GOATS!
Yeah. Hivi naskia hakuzikwaKafa akiwa mdogo pia
Hii ndio diss track bora zaidi kwangu!!
Huku ndo kulikuwa kuchambana bwana.
Sio siku hizi watu wanachambana Insta.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hahah!, leave Em alone please! [emoji16]
I ain't got no motherfuckin friendsPac alikua mkorofi sana eti anasema "you claim to be a player but i fu*ked your wife"[emoji23]
Duh nimenyosha mkonoShabaa!
Moja kati ya ngoma ninazozipenda zaidi, huwezi kuikosa katila playlist yangu.
Hiyo 2000's nakumbuka hapo nilikua secondaryHata mie nashindwa tofautisha sana btwn 90's and 2000s.