yes He is the ex for sm reason.... If we were done, we were soooo done. He is as good as he doesnt exist. He is neither a friend nor an enemy.Tunatofautiana sana BAK, kwangu tukimaliza tumemaliza. Aende aendelee, staki kumsikia, na hakuna nachotaka kusikia.Vile vile kwa mwenzangu sitapenda mawasiliano ya aina hiyo/ukaribu usokuwa na tija!Thanks for the wish BAK....have a good one too!(S)he is EX for a reason, time to move on with your life. Mzima weye? Habari za siku nyingi? usipotee kwa muda mrefu kiasi hicho. Miye nilikumiss.Haya siku na kazi njema.
hello,asante bt mbona kuna wengine wanafanya hivyo?coz utakuta upo na m2 wako then anaongea na simu ukimuuliza atakujibu ni mpz wake wa zamani.je na ilo lipo sawa?Kuwasiliana kikazi au kimjini mjini2? na mnapo onana mnakumbuka yazamani au mnakunywa soda mnaondoka? na jee yule ulokuanae akikuona utamueleza nini akikuliza huyu nani? sidhani kama ni sawa kama mlisha maliziana ni basi kila mtu aangalie ustarabu wake.
hello,ni kweli 2natofautiana bt kwa wavulana wengi huwa ndio wanafanya ivyo bt asante.yes He is the ex for sm reason.... If we were done, we were soooo done. He is as good as he doesnt exist. He is neither a friend nor an enemy.Tunatofautiana sana BAK, kwangu tukimaliza tumemaliza. Aende aendelee, staki kumsikia, na hakuna nachotaka kusikia.Vile vile kwa mwenzangu sitapenda mawasiliano ya aina hiyo/ukaribu usokuwa na tija!Thanks for the wish BAK....have a good one too!
upo sawa kabisaaaaaa asante.kama mwenzi wako akiwa na mawasiliano ya karibu na ex wake,utajisikiaje? nadhani ukikutana nae, dont bite his/her head off. salamu tu zinatosha (sio tena lets have one drink...). usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, lakini pia whatever u do behind ur partner's back, do @ ur own risk!manake ni wazi huwezi kukutana nae in the presence of ur partner!
mm wang aliniambia tusiwe wapenz bt tuendelee kuwasiliana,vp hapo imekaaje? Bado ana interest au?Why are you keep a dead dog !umeshaonekana haufai then unawasiliana nn !mwisho wa uhusiano its end of everythng kama mliwasiliana b4 mkaishia kuachana ,at th end mmoja anaonekana zoba!
yaani umeshaachana na mpz wako na ukapata mpz mwingine alafu ukawa bado unawasiliana na mpz wako wa zamani kwenye simu na ata sikunyingine ata kuonana mnaonana.je ni sawa?
kama mwenzi wako akiwa na mawasiliano ya karibu na ex wake,utajisikiaje? nadhani ukikutana nae, dont bite his/her head off. salamu tu zinatosha (sio tena lets have one drink...). usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, lakini pia whatever u do behind ur partner's back, do @ ur own risk!manake ni wazi huwezi kukutana nae in the presence of ur partner!
inaonekana ww n msaliti sanamawahara hawaachani
ni kweli inajipend na sababu mlioachana but kwann muendeleze mawasiliano?Depends, every case is different, how you break up will determine if you will remain or should remain friends
ni kweli inajipend na sababu mlioachana but kwann muendeleze mawasiliano?Depends, every case is different, how you break up will determine if you will remain or should remain friends