Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
kati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.
Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.
Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
Suala hapa sio watu wa Rwanda, swala ni watutsi! Rwanda wapo wahutu, watwa na hao watutsi. Ni kweli tumekuwa tukiishi nao hapa Tanzania bila tatizo, lakini hayo maneno ya kagame ndio yameamsha hasira za Watanzania na kuona kweli hawa sio watu. Wamekosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Kilichopo ni kuwasakanya popote walipo na kuwarudisha huko kwao. Hatahitaji fujo nchini kwetu

Interahamwe utawajua tuu!Suala hapa sio watu wa Rwanda, swala ni watutsi! Rwanda wapo wahutu, watwa na hao watutsi. Ni kweli tumekuwa tukiishi nao hapa Tanzania bila tatizo, lakini hayo maneno ya kagame ndio yameamsha hasira za Watanzania na kuona kweli hawa sio watu. Wamekosa shukrani kwa kiwango cha juu sana. Kilichopo ni kuwasakanya popote walipo na kuwarudisha huko kwao. Hatahitaji fujo nchini kwetu
Interahamwe utawajua tuu!
Mkuu naomba kutofuatiana na wewe. Ukumbuke kuwa Paul Kagame ni Rais wa Rwanda, si mwakilishi wa watusi, na kama yeye ana chuki na watanzania haina maana watusi wengine wana chuki na Tanzania. Tunaishi na watusi wengine tu hapa Tanzania, mbona wako poa tu? ni sawa na ilivyokuwa wakati wa Idd Amin, waganda walikuwa wenzetu na hawakuwa maadui wetu kama Idd Amin na Jeshi lake.
Believe me, JK anaposema atakayetuchokoza tutamchukulia hatua kama alivyofanya Idd Amin he knows what he mean.
Your brain is impared you tutsi blood sucker... I have told u time n time again to stop calling me Interehamwe...am not a rwandese eeh!
Kama vipi Balozi wa Rwanda atimuliwe!!! tunamsubiri huyo mtusi ajibu chichote..... ni fedheha kwa raisi wetu kukejeliwa na ka nchi kama Rwanda....hata kama tunaitikadi za kichama inapokuja suala la kitaifa lazima tuwe wamoja... Who is Kagame bana!!!!
Nadhani nyinyi ni vijana bado, hivyo si vizuri kushabikia vita, ni bora tutafute njia ya kupatana na jirani zetu!!! Wanyarwanda ni ndugu zetu wacha hizo jaziba za kiongozi wao Kagame, huko kwake kuna watu pia hapatani nao, ana tabia za kidekteta!! Tusiweke petroli kwenye moto tujitahidi kupoza sio kuchochea!!!kati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.
Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.
Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
Tatizo Rwanda ndio pace maker kati ka EAC sasa hivi. Ndio wenye u EAC wa ukweli na wa vitendo. Ni rahisi Tanzania au Kenya kuodolewa na members wengine kwenye muungano kulikoni Rwanda.
Hoja za kitoto zinazowafaa wendawazimu kama mokala na rushasha hizi, kwanza kuna ugomvi gani kati ya TZ na Rwanda kuingia vitani au kuwaza vita namna hii?au mnaongelea hawa interahamwe wa humu JF kina Rushasha ndio wanawadanganya na nyie mnawasikiliza?nyie mnapiga kelele za ugomvi na imaginary war isiyokuwepo ila wanaoelewa wanajua wenzenu practically wameshaanza kuiweka EAC bila TZkati ya kosa kubwa ambalo jumuiya ya Africa mashariki tulifanya, ni kuiruhusu Rwanda kuwa member wa community. HIVI TUNAWEZA KUWAFUKUZA, kwasababu kwa hali kama hii, hatuwezi hata siku moja kuwa na uhusiano mzuri kati yetu sisi watz na hata raia wa Rwanda. Mtaani kila mtu anawachukia hawa wanyarwanda na hataki hata kuwasikia kwasababu tu ya Paul Kagame. Huyu jamaa ni mjinga sana na anaamini yeye anaweza kufanya kila kitu. kabla ya Rwanda kujiunga na community, sisi sote tulikuwa tunaheshimiana, lakini kinachoenda kutokea sasaivi, tutagawanyika na mataifa makubwa yanawezak utugawanya kabisa hata tukapigana sisi kwa sisi.
Hata hivyo, sishauri Tanzania kujibu lolote au hata kuivamia Rwanda kwa namna yeyote ile, kwasababu ya maendeleo makubwa waliyofikia kwa sasa. vita ikianza kati yetu sisi watz na Rwanda, Kigali itakuwa reduced to the ground, na watakuja kutumia muda mrefu sana kuijenga tena, wakati sisi watz dar es salaam na mikoa yote yenye uchumi itaendelea kufanya kazi.labda kigoma na Bukoba peke yake ndio watapata shida, hata hivyo ni raisi kuhandle kwa kule.
Nyerere alikuwa na akili sana, kuweka katika kila mkoa, kambi ya jeshi. Jana wakati maadhimisho ya kijeshi yanaendelea, nilifurahi kuoa karibia kila mkoa kuna kambi ya jeshi na wanaadhimisha kwa ukakamavu wa kutosha. Ila kama kagame akilianzisha yeye, majeshi yetu ya bukoba na kigoma yanamstosha kumkimbiza hadi misitu ya Congo akaishi na M23.
Kawaambie Uhuru na Museveni hayo usikie watakujibu nini?nina uhakika wako tayari kuiona TZ ikitoka sasa kuliko RwandaI totally disagree with your inputs, let Rwanda GO.
Tatizo Rwanda ndio pace maker kati ka EAC sasa hivi. Ndio wenye u EAC wa ukweli na wa vitendo. Ni rahisi Tanzania au Kenya kuodolewa na members wengine kwenye muungano kulikoni Rwanda.
Kawaambie Uhuru na Museveni hayo usikie watakujibu nini?nina uhakika wako tayari kuiona TZ ikitoka sasa kuliko Rwanda
Hoja za kitoto zinazowafaa wendawazimu kama mokala na rushasha hizi, kwanza kuna ugomvi gani kati ya TZ na Rwanda kuingia vitani au kuwaza vita namna hii?au mnaongelea hawa interahamwe wa humu JF kina Rushasha ndio wanawadanganya na nyie mnawasikiliza?nyie mnapiga kelele za ugomvi na imaginary war isiyokuwepo ila wanaoelewa wanajua wenzenu practically wameshaanza kuiweka EAC bila TZ