Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
hahaaa jaman Jf ina vituko
kuna wenzako ujue wanamega kisela.....
Soma alama za nyakati
Ila atleast anakumbuka kutumia huo mpira
sasa kasema mpira una muumiza, kuna maana ipi kama sio sex chain yetu wote tunakwenda peku?
Hahahaha ah sum posts bana, kwani ye hakua na maexperience ya huko b4? Au we ndo ulikua first?
mimi sio kifungua mlango. Nlikuta viatu mlangoni nami nkaingia.
Tatizo tumekuwa wote kitambo na aliniambia aliyefungua, alifungua zamani sana. Tena ni mwenyewe alisema kipind hko alikuwa hajui mapenzi.
Tatizo tumekuwa wote kitambo na aliniambia aliyefungua, alifungua zamani sana. Tena ni mwenyewe alisema kipind hko alikuwa hajui mapenzi.
Wanajamvi....! Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa miaka miwili sasa. Nimeshiriki naye kimwili bila mpira mara zote ambazo nilikutana nae. Cha kushangaza sasa, juz wakati nataka nipige mambo yangu akasema anakaribia siku zake. Nikamwambia ntatumia mpira, akasema mpira huwa unamuumiza. Hapo ndipo kanipa mawazo kwa sababu sijawahi kuvaa mpira mara zote, je kajuaje kuwa mpira unamuumiza?, je niendelee kumuamini huyu binti? Nb: mpira = condom
Tatizo tumekuwa wote kitambo na aliniambia aliyefungua, alifungua zamani sana. Tena ni mwenyewe alisema kipind hko alikuwa hajui mapenzi.
Inawezekani amehadhiwa na marafiki/ ndugu jamaa na marafiki.
Kumuamini binadamu mwenzako kwa 100% ni kuijiafutia presha.