Should African Countries Recognize The Libyan Rebels?

kenya wamefanya vema, hivi mmesahau libya na ghadafi walimsaidia iddi amini kutuua kwenye vita vya kagera someni historia acheni libya ichapwe na ghadafi afie mbali

Aliomba msamaha kumbe hamkumusamehe
 
hebu google Gadafi alafu chagua ile wensite ya wikepedia utaona Gadafi urafiki wake mahali pa afrika kuna picha yake na bestii yake Hiyo yasema yote…….

Inapendeza, strong and influential African leaders. Tanzania hatutawatambua tebels.
 
Col. Gaddafi amewekeza Kenya kwenye Hoteli moja iliyoleta purukushani kisiasa hadi Waziri wa Fedha akajiuzulu, ukiona hivi kuna watu wanataka kuifisadi hiyo investment.
 
What difference does it make? Would that decision make a return of my famous Gaddafi?
 
Whether AU does or doesn't support the rebels, it really doesn't matter and it's not a setback either! You have a country like Morocco that is in Africa but shunned down OAU/AU, and could anyone tell me how does that affect Morocco in anyway? Nope!!
It's just a matter of time you will hear these ombaomba African countries start to recognize the rebels.
Gadhafi is now a piece of trash waited to be collected in the trash can. He's finished and done!
 

Two main reasons the AU -and African "statesmen"- are not recognising the rebels.

1. They took so much money from Gaddafi, hey feel bad to see their man go.
2. They fear their own peole may rise against them, Libya style, with some NATO R2P clauses blessed by the UN.
 
...............and then guess what, .............huyo mchina waafrika wanaomwona wa maana saa hizi amekaa kimyaaa anasoma tu nini kinaendelea na kufanya timing. Rebels wakishachukua nchi the Chinese will support them and make lucrative trade deals, competing with the west, while you ombaomba AU mnajitia ooh we do not support them!! Waafrika nimeamini sasa wengi wetu we are stupid!!
 
A little too late! Haya madege yalianza lini kudondosha mabomu Libya? Au walifikiria ni Hollywood movie! As long as they continue to que for donars money in their budget,AU wanapoteza muda na resources za bara letu kufuatilia hii issue. They should also be tough for leaders who abuse their power ili wapate support ya waafrika wengi!!
 
Kuna usemi "Ukisusa wenzio wala". Majuzi tu Kenya walitangaza wanawaunga mkono rebels na wakasema wako mbioni kutuma delegation huko Bengazi. Hapa inanichanganya. Kibaki yupo na AU ama hii imekaaje?
 

Wanaoibomb Libya kwa sasa ni Qatar, UK, Italy, France, US and other NATO allies
Sasa hapo kwenye all EU states imekaaje tena?
Ama UK, Italy na France wamejiengua EU? Na ukiongelea EU ni nchi kama UK, France na Germany zilizobaki ni fuata mkumbo tu.
 
Sikulaumu kumbe unamatatizo ya macho, hahahaha, huoni vizuri sio?!!!.....Ni AU [Africa Union] kaka sijaandika EU!!!!. haya ndo matatizo ya kukurupuka, tulia soma thread vizuri hakuna haraka!!!...,,lol
sorry nimepoteza miwani yangu ya kusomea. Lakini naamini China ilivyo kigeugeu it's just a matter of time utaona wameenda Libya kuchangamkia contracts za wese na construction projects. Utakuja kuniambia
Angalia hapo chini:


[h=2]Nigeria Recognizes Libya Rebels[/h]VOA News
August 26, 2011

]http://media.voanews.com/images/300*300/ap_nigeria_viola_onwuliri_13jul11_eng_300.jpgo: AP

Nigeria's Minister of State for Foreign Affairs Viola Onwuliri (File Photo)
Africa's most populous country, Nigeria, has recognized the Libyan rebel council as the "legitimate representative of the Libyan people."

In remarks to reporters on Friday, Nigeria's minister of state (junior minister) for foreign affairs, Viola Onwuliri, also called on longtime Libyan leader Moammar Gadhafi to give up power immediately.
VoA
 

More than 40 countries recognize Libyan rebel council
By REUTERS
08/25/2011 14:26

Transitional [FONT=arial !important]Council [/FONT]declared itself the sole legitimate representative of the Libyan people.
More than 40 countries have recognized Libya's National Transitional Council (NTC), set to take [FONT=Arial !important]power [/FONT] after rebels forced veteran leader Muammar Gaddafi to abandon his headquarters in the capital.
The NTC declared itself the sole legitimate representative of the Libyan people on March 5 and appointed Mahmoud Jibril on March 23 to form an interim government.
Here are the countries that have recognized the NTC:
Albania, Australia, Austria, Bahrain, Belgium, Britain, Bulgaria, Burkina Faso, Canada, Chad, Croatia, Denmark, Egypt, Finland, France, Gambia, Germany, Greece, Iraq, Italy, Japan, Jordan, Kuwait, Latvia, Lebanon, Luxembourg, Maldives, Malta, Montenegro, Morocco, Netherlands, Nigeria, Palestinian Authority, Panama, Portugal, Qatar, Senegal, Slovenia, Spain, Tunisia, Turkey, United Arab Emirates, United States
* China has not formally recognized the NTC, but said on Wednesday it had "always attached significance to (its) important role".
[FONT=Arial !important]Russian[/FONT] President Dmitry Medvedev said on Wednesday that Moscow might establish formal relations with the rebels if they were able to "unite the country for a new democratic start".
 
4 more Arab nations back Libyan rebel council
By ASSOCIATED PRESS
Published: Aug 25, 2011 18:27 Updated: Aug 25, 2011 18:35
DUBAI/RABAT: Iraq, Oman, Bahrain a Morocco have recognized Libya's rebel-led council as the country's legitimate international representatives.
They are the latest Arab nations to break off relations with Muammar Qaddafi's regime in favor of the National Transitional Council.
A statement on Tuesday by Oman's Foreign Ministry also urged Libyan rebels to keep the country from drifting into lawlessness as opposition forces move against Qaddafi's last strongholds in the capital Tripoli.
The official Bahrain News Agency says the kingdom expressed hopes that the rebel council can lead Libya to stability and reconstruction.
In Rabat, Morocco's official MAP news agency quoted Foreign Minister Taieb Fassi Fihri as saying he would travel to Benghazi, Libya, on Tuesday to bring a message of support for the Libyan people from Morocco's King Mohammed.
"The kingdom of Morocco confirms today its recognition of the National Transitional Council as the sole legitimate representative of the Libyan people and responsible for its aspirations for a better future based on equality, justice, democracy and the rule of law," MAP quoted him saying.
 

Achana na huyo Junior minister. President mwenyewe Goodluck wa Nigeria kashatoa msimamo wake AU mkutanoni LEO LEO, ndo mana wanigeria wamelipua UN office kwa hasira showing their support to Gaddafi Deadly bomb blast rocks U.N. building in Nigerian capital - CNN.com ...
Naona labda Zuma atakuwa kawafumbua macho na kuwambia waache usaliti!.... kaka fungua TV angalia Skynews, Aljazeera, BBC, ni breaking news msimamo mpya wa AU ni huo kutowatambua Rebels (NTC), there cant be no contradiction on that one!.... The below list has no facts. Do current research. angalia habari kamili kaka usisome magazeti ya kiu na ijumaa!!!!
 
I see. Nimesikia kuna bomu limelipuka kule Abuja
 

Hii nimeipenda zaidi...
 
Viongozi Wa Afrika mnatia aibu..nchi ya Afrika inavamiwa inapigwa na Mizungu mpaka inasambaratika ndio mnasema hamtambui why msisaidie kijeshi ?!!
 
every Africa country will fall into this trap of wazungu just watch who comes next .... where is their human rights???!!!!!on Africa????this shameless cockroaches &Rats ,,,they just want to kill Africans n try to say they will build together this countries watch out how many libyans will be jobless when time to rebuild their country comes......the AFTERMATH......
 
Waafrika bwana!! Libya hata kama iko ktk bara letu lakini ni jirani zaidi wa bara la Ulaya. Kinachotokea Libya ama Moroco,Algeria,Tunisia na Misri kinawahusu sana watu wa Ulaya kuliko sisi. Pili uoga wa viongozi wetu ni hii kuongoza nchi zetu kama kampuni binafsi ya familia. Wanaogopa yasije wakuta yaliyomkuta Gadhafi. Hata hivyo baada ya tamko la AU,siku chache zijazo utasikia baadhi ya nchi hizi hizi zikiwatambua NTC! Hiyo ndiyo Afrika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…