Abortion sio halali tangu zamani na tusije tukaihalalisha acha wafanye kisiri lakini ukiwatangazia itakuwa hatari. Isihalalishwe ifanyike tu kama kuna hatari kwa mzazi isiwe mtu kaipata hajisikii kuwa na mtoto basi atoe, na kesi zake hazisikiki kwa kuwa zinafanyika kwa siri na njaa za madaktari wetu hata nyumbani kwake anafanya tu na hapo ndipo dada na mama zetu tunawapoteza
Wanaume ndio watoa hela za kutoa na madaktari wanaofanya haya wanajulikana wengine wanatolewa na vizazi baadae wakitaka watoto wanakimbilia kwa waganga. Tatizo ni kubwa tuwe makini
Wanaume ndio watoa hela za kutoa na madaktari wanaofanya haya wanajulikana wengine wanatolewa na vizazi baadae wakitaka watoto wanakimbilia kwa waganga. Tatizo ni kubwa tuwe makini