shost yuko njia panda

habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun

For experiment sio mbaya...ni kujaribu tu halafu baadae tunaandika vitabu about what is right and wrong.
 
siyo issue kubwa... kwani shostito ana umri gani?

Hili ni swali la muhimu, kama shosti wako ana umri uliosogea kidogo nadhani achukue ngoma hiyo la umri bado ni teenager mshauri asubiri, ya nini kuitafuta eda ndani ya umri mdogo?!
 
Mmh nini kilisababisha wake zake wote wawili kurest in peace??something is wrong somewhere! Shost yeye haogopi kurest in peace?

km umesoma post zangu nimeeleza, kwan mtu akifiwa na wakeze hana haki kuoa?
 
Mi j2 hii,sijaenda kanisani,Ney wa mitego anawaita waumini ma-zombie na wameshawekwa bondi kuzimu,eti kwa sababu hawastuki wanawatajirisha wachungaji.Mi nimestuka,sitaki kuwa zombie wala kuwekwa bondi kuzimu bana.. . . . . . . . . BACK TO TOPIC,huyo binti amekosa kijana?Siku hizi mabinti wanaolewa na wanaume waliowazidi kuanzia miaka mi 5 kurudi chini sasa 21 si kibabu hicho?

nahc maamuz binafs na mapenzi vinachangia!
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun

Mimi attention yangu ni hapo kwenye kufa hapo! Vyema akaangalia vyema, pengne ni roho hizo!
 
Life span yenyewe ka ya mbu, mwambie shost Mwalimu Zawadi anasema...songa songa mbele...songa mbele....wacha watu wakuseme ...we so:A S kiss:nga mbele...
 
Magonjwa yote hayo yanaweza kabisa kuwa na dalili zote za HIV. Awe makini, tena makini sana.

Kuna baba jirani yetu nilivyokuwa mdogo alifiwa na wife wake kwa Cancer miaka ya mid 80s. Wife alipelekwa hadi nje kutibiwa; nywele zilikuwa zimeisha kabisa zikarudi akanawili, lakini baada ya muda akaugua vibaya mno akafa.

Jamaa akaja oa rafiki wa dada zangu; a very beutiful lady; yule second wife akafa ghafla, kwa BP.
Tena huyu second wife alisikitisha sana watu alipoolewa maana alikuwa kwenye serious relationship na kijana mwenzie na alikuwa ndo kwanza kamaliza form four wakati mfiwa alikuwa Capten (pilot); ila jamaa aliyefiwa alikuwa na pesa aswaa; hivyo dada alitaka short cut ya maisha; ambayo ilimpeleka kaburini.

Kaka alomtema sasa hivi ana pesa zaidi ya huyo mfiwa alomuoa.


Watu wakaanza kumuogopa yule mzee; sijuhi kama yuko hai ila watu walianza sema ni HIV case. Alioa mke wa tatu lakini hakuwa bomba kama second wife na sijuhi alimtoa wapi (labda kijijini wasikomjua)


Naogopa sana wanaume/wanawake wanaofiwa more than once. Hata kama ni wazima wanaweza kuwa na nuksi au ushirikina kwenye ukoo.


wa kwanza et alikufa kwa ugonjwa wa ini, wa pili cancer
 
Nyumba Kubwa amesema nilichotaka kusema. Kuna swala la ushirikina, lisiwe ignored hata kama mmepima na kukuta mambo safi. Au ana lispiritual wife ambalo huuwa wake wa kibinadamu, kufiwa wake 2 yatia shaka.

Maisha ni zaidi ya ndoa, na God's time is the right one. Asubiri na hata asipoolewa bado haimfanyi kuwa nusu binadamu!
 
Back
Top Bottom