shost yuko njia panda

kama huyo rafiki yako ameshazaa yaani keshawahi kupata mtoto sio mbaya akijitumbukiza kwa hilo lidady, ila kama hajazaa aachane nalo atafute kijana mwenzake ambae watakua hawajapishana miaka mingi, pia achunguze kinachowaua
hao wake zake nini, usije ukampoteza shosti wako

mwenzako kapata jizee la kumtuliza mwache akazae watoto watakaokuwa na baba anaetambulika na jamii siyo wewe uliyepewa mimba gest baada ya kuchezea vibuti vya vijana wenzako.usitoe ushauri wa kinafki kama wewe ulshdwa utamshauri nini anae tafuta
 
Back
Top Bottom