shost yuko njia panda

Kama naye anataka kufa akubali kuolewa na huyo mbaba ss hatuna shida tutasema alioa tena mke wa tatu akafa.
 
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar kumuoa ila shost anaogopa walivyopishana umri. . . ushauri tafadhali! me nimeshindwa hata nianzeje make napata kigugumizi. karibun
Mwambie ataingia kwenye orodha ya watakaokufa..................Sijui bhana mi na ile dhana ya age sio kitu mi huwa siiamini sana kwasababu tofauti ya 21 years ni kubwa sana na mara nyingi huwa inasababisha migogoro baadae baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda.

Kwa mfano; Uwezo wa wanaume wenye umri mkubwa katika kutimiza ile shughuli yetu unakuwa umepungua hivyo kutokuwa na uwezo wa kumtimizia binti na kumfikisha pale anapotaka. Hali hii humfanya binti kuanza kuangalia wapi ataridhishwa kimwili kwasababu lengo kubwa la binti wakati anaingia kwenye mahusiano hayo huwa ni mali which happens to be their torture baadae
 
issue ya kuridhishwa au kutoridhishwa kingono ina-cut across the board.... wapo age-mates ambao pia wanakumbwa na matatizo ya kuridhishana sexually
 
issue ya kuridhishwa au kutoridhishwa kingono ina-cut across the board.... wapo age-mates ambao pia wanakumbwa na matatizo ya kuridhishana sexually
I understand that cartura, but sikuwa nataka kuangalia specific cases nimetumia mfano ambao uko very general wa kibaolojia. Najua kuna watu wa age hii ya kati wenye matatizo hayo ingawa kiundani its somekinda disability tofauti na age kubwa ambayo age ndiyo inakuwa chanzo
 
asante mkuu.. .yan hapa ntakachofanya ni kuprint hz page ili akachanganye na zake. M'Jr
 
Last edited by a moderator:
Mi j2 hii,sijaenda kanisani,Ney wa mitego anawaita waumini ma-zombie na wameshawekwa bondi kuzimu,eti kwa sababu hawastuki wanawatajirisha wachungaji.Mi nimestuka,sitaki kuwa zombie wala kuwekwa bondi kuzimu bana.. . . . . . . . . BACK TO TOPIC,huyo binti amekosa kijana?Siku hizi mabinti wanaolewa na wanaume waliowazidi kuanzia miaka mi 5 kurudi chini sasa 21 si kibabu hicho?
 
.......umri si tatizo, ila huyo baba ana watoto? Yupo tayari kuwa mama wa kambo?

Je kwa nini wake zake walikufa? wakapime ukimwi kwanza kabla ya yote.
 
.......umri si tatizo, ila huyo baba ana watoto? Yupo tayari kuwa mama wa kambo?

Je kwa nini wake zake walikufa? wakapime ukimwi kwanza kabla ya yote.

huyo baba ana watoto wawili,shost hana tatizo na watoto. kiafya yuko fit
 
Kipi kinachomuweka njia panda sasa? Kama amefika kwa huyo mdingi afunguke. watu wasitoe mawidha ya mwisho wa siku ikawa bule, coz mtu akipenda huwa ashauliki.
 
Mie sina shaka na tofauti ya umri ila nna mashaka na mshosti wako naye asije akaRIP. Inaelekea kikojoleo cha huyo mjamaa kina aleji na ndoa.

duh! katika siku umetoa comment ukanikosha nafsi ni leo Asprin.

Binafsi nimeona tatizo katika angle tofauti kabisa ambalo pia lina sababu kwa nini likawepo, na effect yeake iko mbaya zaid kuliko hata ya umri.
mwambie huyo shosti atulie magotini sana kusali na kama ni mwislamu aende kwa shehe achomee ubani ili kujinusuru.
 
Last edited by a moderator:
Mmh nini kilisababisha wake zake wote wawili kurest in peace??something is wrong somewhere! Shost yeye haogopi kurest in peace?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom