Short women vs tall women

Kama nilivyotangulia kusema hii topic haijakusudiwa kumshushia mtu heshima,so mkuu angalia sana maneno unayotumia yasiumize wengine,hilo neno vijibushuti sidhani kama ni neno zuri kulitumia.Heshima iwe mbele mkuu asante.
 
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika
 
Kila Mwamba ngoma huvutia kwake. Preta we mrefu boss wangu!
 
Last edited by a moderator:
Ila Kumbukeni Mungu alipoumba wanadamu wakiwa WAKAMILIFU aliwaumba wakiwa WAREFU.
 
haaa yaani we unataka wife akuangalizie chini ya kidevu?sa ye atakudekeaje?coz mwanamke anadekea kifuani kwa mwanaume.

soma vizuri weye...nimesema akiwa amevaa heels ndio anizidi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…