Short time Kwenye Guest watoe EFD

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,488
Reaction score
100,883
Nashauri ili kupata mapato zaidi, basi hata short time Kwenye guest lazima watoe EFD receipts, zitasaidia kuongeza mapato kuliko kusimamia jambo moja tu.

Chanzo cha mapato hicho kisiachwe hivi hivi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jukumu lako kupata risiti ingawa umekaa muda mfupi (short time) wao wanakuuzia chumba kwa bei ya usiku mzima ww ukikaa dk 10 au zaidi hawajali hivyo ni ww kudai risiti tuu. Wazo zuri kumbe hata wazinzi ni wajenga nchi?
 
Wazinzi Wanataka kuchangia pato la Taifa baada ya Wahalifu kukaa kimya, mapato ya TRA yameshuka Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…